Muda wa kazi: Mon - Fri 8.00 am - 5.00 pm

MAMLAKA YA MAPATO ZANZIBAR

" Tulipe Kodi kwa Maendeleo ya Zanzibar "

Latest News & Events

Read our Latest News and Events

Wataalamu wa Kodi Afrika Mashariki Wakutana Zanzibar

Na Muandishi Wetu. MAMLAKA za Kodi za nchi za Afrika Mashariki, zimesema zitaendelea kushirikiana pamoja katika kutatua changamoto za kodi zinazofanana na kubadilishana uzoefu ambao utasaidia kuimarisha mapato ya nchi zao. Kaimu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) Ndg. Saidi Ali Mohamed, alieleza hayo leo wakati akifungua mkutano wa 98 wa Kamati ya Wataalamu wa Mamlaka za Mapato za Afrika Mashariki ulioanza leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr iliyopo Mbweni nje kidogo ya mji wa Zanzibar. Kamishna Said alisema watahakikisha wanajadiliana na kushirikiana katika kutafuta mbinu ambazo zitawezesha kutumiwa na nchi hizo

Read More »

"Tulipe Kodi kwa Maendeleo ya Zanzibar"

Ramani

Contact Details

P. O, BOX 2072, Mazizini- Zanzibar
Opening Hours:
Mon – Fri: 8:00 am – 5:00 pm

ZRA News & Updates

The latest ZRA news, articles, and resources, sent straight to your inbox every month.

Zanzibar Revenue Authority - © 2025. All Rights Reserved

“Tulipe Kodi kwa Maendeleo ya Zanzibar”

0