ZRA Yarejesha Fadhila kwa Jamii
DC Hamida Apigilia Msumari Risiti za Kielektroniki Na. Muandishi Wetu. Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “B” Mhe. Hamida Mussa Khamis amesema maisha na ustawi wa wananchi yanategemea sana kodi ili Serikali iendelee kutekeleza miradi mbalimbali ya Maendeleo. Ameyasema hayo leo alipokuwa Mgeni Rasmi wakati wa hafla ya kutoa msaada wa